Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Juni 3,2024 limepitisha jumla ya shilingi 348,125,419,000 (bilioni mia tatu arobaini na nane milioni mia moja ishirini na tano laki nne na […]
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesikia kilio cha muda mrefu cha Wananchi wanaodhuriwa na wanyamapori wakali na waharibifu akiwemo tembo kwa kuboresha viwango vya kifuta jasho na kifuta […]