September 23, 2023 @ 8:00 am - September 27, 2023 @ 5:00 pm MAONESHO YA KARIBU UTALII KUSINI VIWANJA VYA KIHESA-KILOLO MANISPAA YA IRINGA Fursa ya kujifunza ni namna gani shughuli za utafiti za wanyamapori zinavyoleta mchango mkubwa katika kukuza utalii na kuimarisha hali bora yajamii kusini mwa Tanzania