Kuelekea siku ya Wanyamapori Duniani, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, yuko uwandani katika Pori la Akiba Mkungunero kuyafunga makindi ya Tembo Visukuma mawembi ili kufahamu muelekeo wao, kwa lengo la kuwazuia kuleta madhara kwa wananchi na…
Naibu Katibu Mkuu-Utalii Bw. Nkoba E. Mabula, Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mh. Joseph Mkude Pamoja na wadau mbalimbali wametembelea Banda la TAWIRI katika Viwanja vya Nane Nane, Njiro – Arusha, kuelekea Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wanyamapori…
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) ashiriki katika zoezi la upandaji wa miche ya miti dawa 2,030 iliyopandwa katika shule ya Sekondari ya Mringa iliyoko Mkoani Arusha, ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku…



Users Last 7 days : 572
Users This Month : 290
Total Users : 66464