Waziri wa Maliasili na utalii nchini Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameitaka Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kukamilisha zoezi la kuwafunga tembo viongozi wa makundi mikanda ya visukuma mawimbi (GPS COLLARS) ili kufuatilia mienendo yao na kudhibiti Migongano kati…
Kuelekea siku ya Wanyamapori Duniani, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, yuko uwandani katika Pori la Akiba Mkungunero kuyafunga makindi ya Tembo Visukuma mawembi ili kufahamu muelekeo wao, kwa lengo la kuwazuia kuleta madhara kwa wananchi na…
Naibu Katibu Mkuu-Utalii Bw. Nkoba E. Mabula, Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mh. Joseph Mkude Pamoja na wadau mbalimbali wametembelea Banda la TAWIRI katika Viwanja vya Nane Nane, Njiro – Arusha, kuelekea Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wanyamapori…






Users Last 7 days : 489
Users This Month : 616
Total Users : 69275