Once you login into your account, you can generate the control number from the payment section.
1. Kupitia Benki
Fika tawi lolote au wakala wa benki ya NBC,
NMB, AZANIA BANK, CRDB,
Tumia kumbukumbu namba yako (Mfano: 994330027085)
2. Kupitia Mitandao ya Simu:
Ingia kwenye menu ya mtandao husika
Chagua 4 (Lipa Bili)
Chagua 5 (Malipo ya Serikali)
Ingiza kumbukumbu namba yako (Mfano: 994330027085) kama kumbukumbu namba yako
1. Via Bank.
Visit any branch or bank agent of NBC,
NMB, AZANIA BANK, CRDB,
Use your generated Reference Number (e.g 994330017402)
2. Via Mobile Network Operators(MNO):
Enter to the respective USSD menu of
MNO
Select 4 (Make Payments)
Select 5 (Goverment Payments)
Enter your generated control number (e.g 994330017402) as reference
number






Users Today : 68
Users Last 7 days : 738
Users This Month : 1320
Total Users : 58196