BUNGE LAIPITISHA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Juni 3,2024 limepitisha jumla ya shilingi 348,125,419,000 (bilioni mia tatu arobaini na nane milioni mia moja ishirini na tano laki nne na elfu kumi na tisa) ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

Visitors

041722
Users Today : 4
Users Last 7 days : 772
Users This Month : 4
Total Users : 41722

Office Location

Contact Us