Coart_of_arm

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM

TANZANIA WILDLIFE RESEARCH INSTITUTE

Wildlife Research for Conservation

Latest News & Updates

Nyuki ni wachavushaji muhimu wanaochangia uzalishaji wa chakula, uhifadhi wa bioanuwai na ustawi wa mazingira. Kupitia kazi yao ya uchavushaji, nyuki husaidia kuongeza uzalishaji wa mazao, kulinda mifumo ya ikolojia na kusaidia maisha ya viumbe mbalimbali duniani.

Katika maadhimisho haya, TAWIRI inatoa wito kwa jamii kushiriki kikamilifu katika uhifadhi wa nyuki kwa kulinda makazi yao, kuepuka shughuli zinazoharibu mazingira, na kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa wachavushaji hawa kwa maendeleo endelevu.

“Bila nyuki, hakuna chakula.”

Our Research Partners & Collaborators

TANAPA
TFS
WWF
FZS
NCAA
TAWA
TAFORI
MWEKA
WCS
SIX RIVERS