Wizara ya Maliasili na Utalii inayo furaha kutangaza Uzinduzi Rasmi wa Matokeo ya Sensa ya Kitaifa ya Wanyamapori, itakayofanyika tarehe 17 Juni, 2026 katika Ukumbi wa Pan African Postal Union (PAPU Tower)- Arusha.
Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), Waziri wa Maliasili na Utalii.
Tukio hilo litafanyika kuanzia
Muda wa saa 3:00 Asubuhi.



