Coart_of_arm

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM

TANZANIA WILDLIFE RESEARCH INSTITUTE

Wildlife Research for Conservation

Latest News & Updates

TAWIRI YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE MKOA WA ARUSHA

Wanawake kutoka Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI ) wameungana na wanawake wengine wa Mkoa wa Arusha katika maadhimisho ya siku ya Wanawake Mkoa humo ambayo yanafanyika katika Viwanja vya Ngarenaro.

Wakizungumza na mwanahabari wetu, Wanawake hao wamesema wanajivunia kufanya kazi katika Taasisi ambayo ni injini ya uhifadhi kupitia tafiti za Wanyamapori ambazo hutumika kwa ustawi wa Uhifadhi na kukuza Utalii nchini.

Kauli mbiu ya siku ya wanawake mwaka huu ni
“WANAWAKE NA WASICHANA , MSINGI WA MAENDELEO JUMUISHI KUFIKIA DIRA YA 2050.”

Our Research Partners & Collaborators

TANAPA
TFS
WWF
FZS
NCAA
TAWA
TAFORI
MWEKA
WCS
SIX RIVERS