Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameipongeza Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kwa zao jipya la utalii wa kitafiti na kuitaka kuendelea kufanya tafiti za […]
Fursa ya kujifunza ni namna gani shughuli za utafiti za wanyamapori zinavyoleta mchango mkubwa katika kukuza utalii na kuimarisha hali bora yajamii kusini mwa Tanzania