USHIRIKIANO RASILIMALI ZA UTAFITI NI SULUHISHO CHANGAMOTO ZA KISAYANSI
Dar es Salaam, Desemba 4, 2024. Akizungumza katika Kongamano la Tisa la Wanasayansi, Watafiti, na Wabunifu, Dkt. Julius Keyyu kutoka Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) ametoa wito kwa