SERIKALI YAENDELEZA JITIHADA ZA KUREJESHA MBWA MWITU HIFADHI YA TAIFA SERENGETI
Serikali kupitia Taasisi zake TAWIRI na TANAPA imeendelea na zoezi endelevu la kuwarejesha mbwa mwitu ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ikiwa ni kuhakikisha mbwa mwitu wanaendelea kuhifadhiwa katika