Ikiwa leo tarehe 05.06.2024 ni maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambapo Kitaifa yamefanyika Jijini Dodoma, Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) imebainisha mchango mkubwa wa wadudu mbalimbali akiwemo […]
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Juni 3,2024 limepitisha jumla ya shilingi 348,125,419,000 (bilioni mia tatu arobaini na nane milioni mia moja ishirini na tano laki nne na […]