Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amepokea Taarifa ya Sensa ya Wanyamapori ya Taifa ya Mwaka 2024/2025 iliyowasilishwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI), Ikulu,…
Nyuki ni wachavushaji muhimu wanaochangia uzalishaji wa chakula, uhifadhi wa bioanuwai na ustawi wa mazingira. Kupitia kazi yao ya uchavushaji, nyuki husaidia kuongeza uzalishaji wa mazao, kulinda mifumo ya ikolojia na kusaidia maisha ya viumbe mbalimbali duniani.