WATAFITI WAKUTANA KUJADILI MATOKEO YA TAFITI MRADI WA REGROW
Watafiti kutoka Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Maliasili, Vyuo Vikuu na wadau mbalimbali wamekutana Jijini Arusha, kujadili matokeo ya tafiti zilizofanyika katika Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na