
TAWIRI YAHIMIZA TAFITI ZA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI KWA WANYAMAPORI
Mkurugenzi Mkuu Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI), Dkt. Eblate Mjingo amepongeza mradi wa utafiti wa Uandaaji Ramani za kubainisha makimbilio ya wanyamapori (Refugia) kwa miaka ijayo kwa kuzingatia